luni, 16 mai 2011

Wewe ni Bwana - Enid Moraa

Wewe ni Bwana
(you are Lord)
juu ya mabwana
(over all Lords)
ufalme wako
(your kingdom)
wadumu milele
(is everlasting)
wewe ni bwana
(you are Lord)
juu ya mabwana
(over all lords)
umetukuka milele, amina
(you are exalted forever, amen)

VERSE 1
katoka juu mbinguni
(you came from up in heaven)
kaja hapa duniani
(you came here on earth)
kamwaga damu, Kalivari
(you poured your blood in Calvary)
ili nipate kombolewa
(so that i would get deliverance)
na nimeokoka, nimeoshwa dhambi
(and i am saved, my sins have been washed away)
nimekuwa safi
(i have become clean)
ninakusifu, milele, na milele, na milele
(i praise you, forever, and ever, and ever)

VERSE 2
majaribu yaja, shida nazo zaja
(trials come, troubles also come)
kila siku mbio, ni katika vita
(i'm running every day, i am in battle)
adui hatasita, kunimaliza
(the enemy will not hesitate, to destroy me)
nami nimeuona mkono wa Yesu
(but i have seen the hand of Jesus)
msaada wangu, tegemeo langu
(my help, my refuge)
mwamba imara, kwake nasimama
(solid rock, on Him i stand)
nimeweka imani
(i have put my faith)
kwa yule aliye mwaminifu
(in Him who is faithful)Niciun comentariu: